6 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Desemba 6)
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- sikukuu ya mtakatifu Nikolasi wa Myra katika kalenda ya makanisa mengi ya kikristo.
Waliozaliwa [hariri]
- 1920 - Dave Brubeck, mwanamuziki wa Marekani
- 1920 - George Porter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1967
Waliofariki [hariri]
- 1352 - Papa Klementi VI
- 1961 - Frantz Fanon, mwandishi wa Kifaransa kutoka Martinique
- 1995 - James Reston, mwandishi wa habari kutoka Marekani