Somalia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{Infobox country |
{{Infobox country |
native_name = ''Soomaaliya'' |
conventional_long_name = Somalia |
common_name = Somalia |
common_name = Somalia |
conventional_long_name = Federal Republic of Somalia |
native_name = ''{{lang|so|Jamhuuriyadda Federaalka Soomaaliya}}'' ([[Somali language|so]])<br/ >{{lang|ar|جمهورية الصومال الفدرالية}} ([[Arabic language|ar]])<br/ >{{smaller|''{{transl|ar|ALA-LC|Jumhūrīyat aṣ-Ṣūmāl al-Fidirālīyah}}''}}
image_flag = Flag of Somalia.svg|
image_flag = Flag of Somalia.svg|
image_coat = Coat of arms of Somalia.svg |
image_coat = Coat of arms of Somalia.svg |
national_motto = - |
national_motto = - |
image_map = Somalia in its region (claimed).svg |
image_map = Somalia in its region (claimed).svg |
national_anthem = Wimbo wa taifa wa Somalia |
national_anthem = {{lang|so|''[[Qolobaa Calankeed]]''}}<br><center>[[File:QolobaaCalankeed.ogg]]</center> |
official_languages = [[Kisomali]]|
official_languages = [[Kisomali]] | [[Kiarabu]]
capital = [[Mogadishu]] |
capital = [[Mogadishu]] |
latd=2|latm=02|latNS=N|longd=45|longm=21|longEW=E|
latd=2|latm=02|latNS=N|longd=45|longm=21|longEW=E|
government_type = [[Serikali ya mpito]] |
government_type = [[Jahmuri ya Shirikisho]] |
leader_titles = Rais<br />Waziri Mkuu <br />|
leader_titles = Rais<br />Waziri Mkuu <br />|
leader_names =[[Sheikh Sharif Sheikh Ahmed]] <br />[[Omar Abdirashid Ali Sharmarke]]|
leader_names =[[Hassan Sheikh Mohamud]] <br />[[Omar Abdirashid Ali Sharmarke]]|
largest_city = [[Mogadishu]] |
largest_city = [[Mogadishu]] |
area = 637,657 |
area = 637,657 |
areami² = 246,201 <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->|
areami² = 246,200 <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->|
area_rank = 41 dunia |
area_rank = 44 duniani |
area_magnitude = 1 E11 |
area_magnitude = 1 E11 |
percent_water = 1.6% |
percent_water = 1.6% |
population_estimate = 8,591,629 |
population_estimate = 10,428,043 |
population_estimate_year = Julai 2005 |
population_estimate_year = Julai 2014 |
population_estimate_rank = 87 |
population_estimate_rank = 87 |
population_census = ~3,300,000 |
population_census = ~3,300,000 |
population_census_year = 1975 |
population_census_year = 1975 |
population_density = 13 |
population_density = 16.12 |
population_densitymi² = 34<!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->|
population_densitymi² = 41.73 <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->|
population_density_rank = 170 |
population_density_rank = 199 |
GDP_PPP_year = 2005 |
GDP_PPP_year = 2005 |
GDP_PPP = billioni 4.825 <!--CIA--> |
GDP_PPP = billioni 4.825 <!--CIA--> |
Mstari 50: Mstari 50:
footnotes =
footnotes =
}}
}}
[[Picha:Somalia pol02.jpg|thumb|250px|Hii ramani ya mwaka 2002 yanaonyesha maeneo ya Somalia.]]
'''Somalia''', (kwa [[Kisomali]]: ''Soomaaliya''; kwa [[Kiarabu]]: الصومال, ''As-Suumaal''), ambayo inajulikana kama '''Jamhuri ya Shirikisho ya Somalia''', ni nchi kwenye [[pwani]] ya [[Afrika ya Mashariki]] katika [[Pembe ya Afrika]].
'''Somalia''', (kwa [[Kisomali]]: ''Soomaaliya''; kwa [[Kiarabu]]: الصومال, ''As-Suumaal''), ambayo inajulikana kama '''Jamhuri ya Shirikisho ya Somalia''', ni nchi kwenye [[pwani]] ya [[Afrika ya Mashariki]] katika [[Pembe ya Afrika]].


Ki[[jiografia]], imezungukwa upande wa [[kaskazini]]-[[mashariki]] na [[Ethiopia]] na [[Jibuti]], na upande wa [[magharibi]] ya kati na [[Kenya]]; [[Ghuba ya Aden]] nayo iko mashariki.
Ki[[jiografia]], imezungukwa upande wa [[kaskazini]]-[[mashariki]] na [[Ethiopia]] na [[Jibuti]], na upande wa [[magharibi]] ya kati na [[Kenya]]; [[Ghuba ya Aden]] nayo iko mashariki.


Nchi iliunganika mwaka [[1960]], kutokana na ma[[koloni]] ya [[Waitalia]] na [[Waingereza]].
Baada ya mwaka [[1991]] nchi ya Somalia ilibaki haina [[serikali]] wala umoja wa taifa, iligawiwa na wakereketwa na [[wanamgambo]] wa [[ukoo]] na eneo, hasa [[Somaliland]] na [[Puntland]].


Baada ya mwaka [[1991]] nchi ya Somalia ilibaki haina [[serikali]] wala umoja wa taifa, iligawiwa na wakereketwa na [[wanamgambo]] wa [[ukoo]] na eneo, hasa [[Somaliland]], [[Puntland]] na [[Galmudug]] upande wa kaskazini.

Katika miaka [[2008]]-[[2013]] ilihesabika kama [[nchi filisika]]. Kwa sasa ni [[nchi dhaifu]] lakini inaanza kujengwa upya kama [[shirikisho]].

[[Mji mkuu]] na [[mji]] mkubwa zaidi ni [[Mogadishu]] (wakazi 2,120,000).


== Jiografia ==
== Jiografia ==
Mstari 69: Mstari 75:
== Watu ==
== Watu ==
''Tazama pia: [[Orodha ya lugha za Somalia]]''
''Tazama pia: [[Orodha ya lugha za Somalia]]''
[[Picha:Somalia pop 2002.jpg|thumb|200px|Hii ramani ya mwaka 2002 ya [[Wadadisi wa Marekani|CIA]] ya onyesha, umma kwa Eneo, kutapakaa]]
[[Picha:Somalia pop 2002.jpg|thumb|200px|Hii [[ramani]] ya mwaka [[2002]] inaonyesha [[msongamano wa watu]].]]
Watu asili wa Somalia ni wa ma[[kabila]] ya:
Watu asili wa Somalia ni Wasomali (85%) wa ma[[kabila]] ya:
** [[Hawiye]]
** [[Hawiye]]
** [[Isaaq]]
** [[Isaaq]]
Mstari 77: Mstari 83:
** [[Digil & Mifle]]
** [[Digil & Mifle]]


Wengine ni:
Wengine (15%) ni:
* [[Bantu]]
* [[Wabantu]]
* [[Waarabu]]
* [[Waarabu]] n.k.


[[Kisomali]] ndiyo [[lugha]] ya kawaida ya wakazi wengi na [[lugha rasmi]] pamoja na [[Kiarabu]]. Kati ya lugha nyingine zinazotumika nchini, mojawapo ni [[Kiswahili]].

Upande wa [[dini]], 99.8% ni [[Waislamu]], hasa [[Wasuni]].
== Utawala ==
== Utawala ==
''Tazama pia: [[Wilaya za Somalia]]''
''Tazama pia: [[Wilaya za Somalia]]''


Maeneo (umoja: ''[[gobolka]]'', wingi: ''gobollada'') ya Somalia, ambayo imegawiwa tena kwa [[Wilaya]], ni:
Maeneo (umoja: ''[[gobolka]]'', wingi: ''gobollada'') ya Somalia, ambayo imegawiwa tena kwa [[wilaya]], ni:
<table><td><ol>
<table><td><ol>
<li>[[Awdal]]
<li>[[Awdal]]
Mstari 106: Mstari 116:
<li>[[Woqooyi Galbeed]]
<li>[[Woqooyi Galbeed]]
</td></ol></table>
</td></ol></table>

[[Picha:Somalia pol02.jpg|thumb|250px|Hii ramani ya mwaka 2002 ya [[Wadadisi wa Marekani|CIA]] ya onyesha [[Eneo za Somalia]].]]


== Utamaduni ==
== Utamaduni ==
''Tazama pia: [[Utamaduni wa Somalia]]''
''Tazama pia: [[Utamaduni wa Somalia]]''
* [[Uislamu nchini Somalia]]
* [[Uislamu nchini Somalia]]
* [[Waadishi wa Somalia]]
* [[Waandishi wa Somalia]]
* [[Muziki wa Somalia]]
* [[Muziki wa Somalia]]


== Uchumi ==
== Uchumi ==
''Tazama pia: [[Uchumi wa Somalia]]''
''Tazama pia: [[Uchumi wa Somalia]]''
[[Picha:MogadishuCoke.jpg|300px|left|thumb|[[Coca cola]] banda yamo [[Mogadishu]], Somalia.]]
[[Picha:MogadishuCoke.jpg|300px|left|thumb|[[Banda]] la [[biashara]] huko [[Mogadishu]].]]


== Mawasiliano ==
== Mawasiliano ==
Mawasiliano ya Jamhuri ya Somalia karibu kuangamia kwa vita via wenyewe kwa wenyewe, lakini kwa sasa kampuni za kibinafsi za mawasiliano ya mitambo , zime twaa karibu Miji yote Somalia, na hata kutoa huduma njema kuliko nchi zilizojirani. Somalia ni nchi mojawapo afrika ina mawasiliano ya bei rahisi zaidi, pengine kwa kuwa Somalia haina serika ya umoja kutoa Amri ya ushuru; ([http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/4020259.stm ''Telecoms thriving in lawless Somalia''])
Mawasiliano ya Jamhuri ya Somalia ilikaribia kuangamia kwa [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]], lakini kwa sasa [[kampuni]] za binafsi za mawasiliano ya mitambo, zimetwaa karibu miji yote Somalia, na hata kutoa huduma njema kuliko nchi zilizo jirani.
Somalia ni nchi mojawapo Afrika ambayo ina mawasiliano ya [[bei]] rahisi zaidi, pengine kwa kuwa Somalia haikuwa na serikali iliyotoza ushuru; ([http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/4020259.stm ''Telecoms thriving in lawless Somalia''])
Kampuni zinazo huduma watu wa Somalia nikama:
Kampuni zinazohudumia watu wa Somalia ni kama:
* [[SOMTEL]]
* [[SOMTEL]]
* [[Galkom]]
* [[Galkom]]
Mstari 129: Mstari 139:
* [[Nationlink]]
* [[Nationlink]]
* [[Netco]]
* [[Netco]]
* STG
* [[STG]]
* [[Dahabshiil]]
* [[Dahabshiil]]


== Ona pia ==
== Ona pia ==
* [[Vita vya Mogadishu]]
* [[Vita vya Mogadishu]]
* [[Building block theory]]
* [[Mawasiliano Somalia]]
* [[Mawasiliano Somalia]]
* [[Mambo ya kigeni Somalia]]
* [[Mambo ya kigeni Somalia]]
* [[orotha ya kampuni za Somalia]]
* [[Orodha ya kampuni za Somalia]]
* [[Orotha ya Habari za Somalia]]
* [[Orodha ya Habari za Somalia]]
* [[Wantu wakurugenzi Somalia]]
* [[Wakurugenzi Somalia]]
* [[Jeshi ya Somalia]]
* [[Jeshi la Somalia]]
* [[Usafirishaji Somalia|Usafiri Somalia]]
* [[Usafirishaji Somalia]]
* [[Kudoea Somalia]]
* [[Kudoea Somalia]]


==Marejeo==
== Viungo vya Nnje ==
{{Refbegin|2}}
{{Commons category|Somalia}}{{wiktionary|Somalia}}
* {{Cite book
;Habari, mitandao hii yajadili kuhusu Somalia.
|last= Abdullahi |first= Mohamed Diriye |year= 2001
|title= Culture and Customs of Somalia
|location= Westport,&nbsp;CT |publisher= [[Greenwood Press]]
|isbn= 978-0-313-31333-2 |ref= harv }}
* {{Cite journal
|last= Alpers |first= Edward A. |year= 1976
|title= Gujarat and the Trade of East Africa, c. 1500–1800
|journal= [[The International Journal of African Historical Studies]] |volume= 9 |issue= 1 |pages= 22–44
|doi= 10.2307/217389 |jstor= 217389 |ref= harv }}
* {{Cite book
|author= Gebru Tareke <!-- Ethiopian names, remember! --> |year= 2009
|title= The Ethiopian Revolution: War in the Horn of Africa
|location= New Haven,&nbsp;CT |publisher= [[Yale University Press]]
|isbn= 978-0-300-14163-4 |ref= CITEREFTareke2009 }}
* {{Cite book
|last= Laitin |first= David D.|year= 1977
|title= Politics, Language, and Thought: The Somali Experience
|location= Chicago |publisher= [[University Of Chicago Press]]
|isbn= 978-0-226-46791-7 |ref= harv }}
* {{Cite journal
|last1= Lecarme |first1= Jacqueline |last2= Maury |first2= Carole |year= 1987
|title= A Software Tool for Research in Linguistics and Lexicography: Application to Somali
|journal= Computers and Translation |volume= 2 |issue= 1 |pages= 21–36
|doi= 10.1007/BF01540131 |ref= harv }}
* Mauri, Arnaldo, ''Somalia'', in G, Dell'Amore (ed.), "Banking Systems of Africa", Cariplo-Finafrica, Milan, 1971, pp. nbsp;209–217.[http://ssrn.com/abstract=958442]
* {{Cite book
|last= Samatar |first= Said S. |year= 1982
|title = Oral Poetry and Somali Nationalism
|location= Cambridge |publisher= [[Cambridge University Press]]
|isbn= 978-0-521-10457-9 |ref= harv }}
* {{Cite book
|last= Schraeder |first= Peter J. |year= 2006
|chapter= From Irredentism to Secession: The Decline of Pan-Somali Nationalism
|title= ''In Lowell W. Barrington, ed.,'' After Independence: Making and Protecting the Nation in Postcolonial and Postcommunist States ''(pp.&nbsp;107–137)''
|location= Ann Arbor, MI |publisher= [[University of Michigan Press]]
|isbn= 978-0-472-09898-9 |ref= harv }}
* Shay, Shaul. ''Somalia in Transition Since 2006.'' Piscataway, NJ: Transaction Publishers, 2014.
* {{Cite book
|last= Warmington |first= Eric Herbert |year= 1995
|title= The Commerce Between the Roman Empire and India
|publisher= South Asia Books
|isbn= 8121506700 |ref= harv }}
* {{Cite book
|last1= Zolberg |first1= Aristide R. |last2= Suhrke |first2= Astri
|last3= Aguayo |first3= Sergio |author3-link= Sergio Aguayo |year= 1989
|title= Escape from Violence: Conflict and the Refugee Crisis in the Developing World
|location= New York |publisher= [[Oxford University Press]]
|isbn= 978-0-195-05592-4 |ref= harv }}
{{Refend}}

== Viungo vya nje ==
{{Commons category|Somalia}}
* {{wikiatlas|Somalia}}
* [http://www.somaligov.net/ Federal Government of Somalia]
* {{CIA World Factbook link|so|Somalia}}
* {{dmoz|Regional/Africa/Somalia}}
* [http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-14094503 Somalia profile] from the [[BBC News]]

;Habari, mitandao inayojadili kuhusu Somalia.
* [http://allafrica.com/somalia/ AllAfrica.com - ''Somalia''] Habari
* [http://allafrica.com/somalia/ AllAfrica.com - ''Somalia''] Habari
* [http://www.ifex.org/en/content/view/full/41/ International Freedom of Expression eXchange: Somalia]
* [http://www.ifex.org/en/content/view/full/41/ International Freedom of Expression eXchange: Somalia]
Mstari 152: Mstari 220:


;Habari za kawaida
;Habari za kawaida
* [http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/country_profiles/1072592.stm Habari za BBC taratibu za Nchi - ''Somalia'']
* [http://newsvote.bbc.co.uk/2/hi/in_depth/africa/2004/somalia/default.stm BBC habari barabara - ''Somalia: Kutoka kwenye mbomoko?'']
* [http://newsvote.bbc.co.uk/2/hi/in_depth/africa/2004/somalia/default.stm BBC habari barabara - ''Somalia: Kutoka kwenye mbomoko?'']
* [http://www.cia.gov/cia/publications/factbook/geos/so.html, interneti- CIA World Factbook - ''Somalia'']
* [http://www.cia.gov/cia/publications/factbook/geos/so.html, interneti- CIA World Factbook - ''Somalia'']
* [http://dmoz.org/Regional/Africa/Somalia Open Directory Project - ''Somalia''] directory category
* [http://www.somplanet.com Somali Planet Networks'']
* [http://www.somplanet.com Somali Planet Networks'']
* [http://www.state.gov/p/af/ci/so/ US State Department - ''Somalia''] includes Background Notes, Country Study and major reports
* [http://www.state.gov/p/af/ci/so/ US State Department - ''Somalia''] includes Background Notes, Country Study and major reports
* [http://www.peterleeson.com/Better_Off_Stateless.pdf ''Better off Stateless: Somalia Before and After Government Collapse'']
* [http://www.peterleeson.com/Better_Off_Stateless.pdf ''Better off Stateless: Somalia Before and After Government Collapse'']


Watambuzi:
;Watambuzi
* [http://rru.worldbank.org/Documents/PapersLinks/280-nenova-harford.pdf Anarchy and Invention: Vipi Kampuni za Somalia za weza kufanya biashara bila serikali?]
* [http://rru.worldbank.org/Documents/PapersLinks/280-nenova-harford.pdf Anarchy and Invention: Vipi Kampuni za Somalia zaweza kufanya biashara bila serikali?]


{{Afrika}}
{{Afrika}}
{{African Union}}
{{mbegu-jio-Afrika}}


{{DEFAULTSORT:Somalia}}
[[Jamii:Muungano wa Afrika]]
[[Jamii:Ligi ya Waarabu]]
[[Jamii:Somalia| ]]
[[Jamii:Somalia| ]]
[[Jamii:Nchi za Afrika]]
[[Jamii:Nchi za Afrika]]
[[Jamii:Eneo zilizogawa]]
[[Jamii:Umoja wa Afrika]]
[[Jamii:Nchi za Kiarabu]]

Pitio la 13:27, 20 Septemba 2015

Somalia
Hii ramani ya mwaka 2002 yanaonyesha maeneo ya Somalia.

Somalia, (kwa Kisomali: Soomaaliya; kwa Kiarabu: الصومال, As-Suumaal), ambayo inajulikana kama Jamhuri ya Shirikisho ya Somalia, ni nchi kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki katika Pembe ya Afrika.

Kijiografia, imezungukwa upande wa kaskazini-mashariki na Ethiopia na Jibuti, na upande wa magharibi ya kati na Kenya; Ghuba ya Aden nayo iko mashariki.

Nchi iliunganika mwaka 1960, kutokana na makoloni ya Waitalia na Waingereza.

Baada ya mwaka 1991 nchi ya Somalia ilibaki haina serikali wala umoja wa taifa, iligawiwa na wakereketwa na wanamgambo wa ukoo na eneo, hasa Somaliland, Puntland na Galmudug upande wa kaskazini.

Katika miaka 2008-2013 ilihesabika kama nchi filisika. Kwa sasa ni nchi dhaifu lakini inaanza kujengwa upya kama shirikisho.

Mji mkuu na mji mkubwa zaidi ni Mogadishu (wakazi 2,120,000).

Jiografia

Tazama pia: Jiografia ya Somalia

Historia

Bosaso, Somalia.

Tazama pia: Historia ya Somalia

Siasa

Tazama pia: Siasa za Somalia

Watu

Tazama pia: Orodha ya lugha za Somalia

Hii ramani ya mwaka 2002 inaonyesha msongamano wa watu.

Watu asili wa Somalia ni Wasomali (85%) wa makabila ya:

Wengine (15%) ni:

Kisomali ndiyo lugha ya kawaida ya wakazi wengi na lugha rasmi pamoja na Kiarabu. Kati ya lugha nyingine zinazotumika nchini, mojawapo ni Kiswahili.

Upande wa dini, 99.8% ni Waislamu, hasa Wasuni.

Utawala

Tazama pia: Wilaya za Somalia

Maeneo (umoja: gobolka, wingi: gobollada) ya Somalia, ambayo imegawiwa tena kwa wilaya, ni:

  1. Awdal
  2. Bakool
  3. Banaadir
  4. Bari
  5. Bandari
  6. Galguduud
  7. Gedo
  8. Hiiraan
  9. Jubbada Dhexe
  1. Jubbada Hoose
  2. Mudug
  3. Nugaal
  4. Sanaag
  5. Shabeellaha Dhexe
  6. Shabeellaha Hoose
  7. Sool
  8. Togdheer
  9. Woqooyi Galbeed

Utamaduni

Tazama pia: Utamaduni wa Somalia

Uchumi

Tazama pia: Uchumi wa Somalia

Banda la biashara huko Mogadishu.

Mawasiliano

Mawasiliano ya Jamhuri ya Somalia ilikaribia kuangamia kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe, lakini kwa sasa kampuni za binafsi za mawasiliano ya mitambo, zimetwaa karibu miji yote Somalia, na hata kutoa huduma njema kuliko nchi zilizo jirani.

Somalia ni nchi mojawapo Afrika ambayo ina mawasiliano ya bei rahisi zaidi, pengine kwa kuwa Somalia haikuwa na serikali iliyotoza ushuru; (Telecoms thriving in lawless Somalia) Kampuni zinazohudumia watu wa Somalia ni kama:

Ona pia

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Habari, mitandao inayojadili kuhusu Somalia.
Habari za kawaida
Watambuzi


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Somalia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.