Nenda kwa yaliyomo

Wasoninke Wangara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wangara (pia wanajulikana kama Wakore, Wankori, Ouankri, Wangarawa) ni jamii ya watu wa asili ya Wasoninke wanaoishi ng'ambo. Kabila lilihudumu kama wafanyabiashara maalum wa masafa marefu]] kote Afrika Magharibi, hasa katika biashara ya Biashara ya ng'ambo ya Sahara.

Wakitokea kwenye Ufalme wa Ghana, kwa muda Wangara walijichanganya na kuingiliana na jamii na makabila mengine. Hasa katika maeneo kama Timbuktu, Agadez, Kano, Gao, Salaga, Kong, Bissa, Kankan, Fouta Jallon, Djenné pamoja na Bambouk, Bure, Lobi, na (kwa kiwango kidogo) maeneo ya dhahabu ya Bono na Borgu.

Walikuwa Waislamu walioeneza dini hiyo kwa upana na pia walihudumu kama makasisi, washauri wa kisiasa, waganga, na warabiti, mara nyingi wakifuata mapokeo ya Wasuwari.


Makala hii ni sehemu ya warsha ya kuhariri Wikipedia huko MUM. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasoninke Wangara kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.