Kimwan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimwan ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wamwan. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimwan imehesabiwa kuwa watu 17,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimwan iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimwan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.