Kikuranko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikuranko ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sierra Leone na Guinea inayozungumzwa na Wakuranko. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikuranko nchini Sierra Leone imehesabiwa kuwa watu 268,000. Pia kulikuwa na wasemaji 55,000 nchini Guinea mwaka wa 1991. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuranko iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikuranko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.