Wabissa
Mandhari
Wabissa (au Wabisa (umoja), Wabisan, Wabissanno (wingi)) ni kabila la kundi la Wamandé kutoka katikati-mashariki mwa Burkina Faso, kaskazini-mashariki mwa Ghana na ncha ya kaskazini kabisa ya Togo.
Lugha yao, Kibisa ni jamii ya lugha za Kimande ambayo inahusiana, lakini sio sawa ,na kundi la lugha katika eneo la Ufalme wa zamani wa Borgu kaskazini-mashariki mwa Benin na kaskazini-magharibi mwa Nigeria, ikijumuisha Kibusa, Kiboko, na Kikyenga.
Jina jingine mbadala kwa Wabissa ni Wabusansi au Wabusanga, ambalo linatumika na watu wa kabila la Wamosi.
Baadhi ya makabila na majina maarufu ya watu wa kabila la Bissa
[hariri | hariri chanzo]Ukoo | Majina ya Utambulisho |
---|---|
Pagou | Nombre/Ziginni |
Gassuogou | Yaalah |
Tangari | Lengani |
Tangaré | Lingani |
Garango | Bambara |
Tunugu | Saare |
Bussim | Guerm/Guerne |
Sandugu | Zeba |
Lergu | Jinko |
Ziglah | Bandau |
Pakala | Billa |
Tuuro | Dabre |
Woono | Zaare |
Saawunno | Nyenni |
Chenno | Yabre |
Bura | Zuure |
Saarugu | Saare |
Muungo | Gamine |
Kayo | Gampine |
Bugula | Darga |
Gulagun | Nombone |
Yiringu | Galbane |
Lengi | Monnie |
Kadpugu | Yankini |
Ganni | Samandulugu |
Jangani | Guengane |
Bedega | Wandaago |
Leda | Zampaligidi |
Woono | Wango |
longa | Welgu/Keera |
Sasima | Daboni |
Zangila | Kidibari |
Kuu | Lenkoni |
Zaka | Boibani |
Hunzaawu | Zombra |
Bergu | Baara |
Nyaawu | Campaore |
Gulanda | Bayere |
leere | Zampoo |
Dansanga | Genni |
Somma | Zakaani |
Sominne | Senre/Sebene |
Gudu | Sewonner |
Sonno | Lembani |
Wargu | Bansi |
Tollah | Bansi |
Wanda | Gulla |
Dansanga | Genni |
Zhetta | Zesonni |
Koonteega | Yourda |
Bangu | Sambare |
Youngou | Gambo |
Gerrimah | Nyenni |
Kerimah | Ziigani |
Yakungu | Gengani |
Gangila | Nunkansi |
Kele | Gansani |
Tinga | Bidiga |
Bann | Zanni |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii ni sehemu ya warsha ya kuhariri Wikipedia huko MUM. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wabissa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |