Kiboko (Benin)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiboko ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin na Nigeria inayozungumzwa na Waboko. Isichanganywe na lugha ya Kiboko cha Kongo. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiboko nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 70,000. Pia kuna wasemaji 40,000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiboko iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiboko (Benin) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.