Lugha za Kimande

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lugha za kimande zinatengeneza kundi la lugha ambazo zinazungumzwa katika nchi nyingi ya Afrika ya Magharabi, kati ya Gambia na Nijeria. Wasemaji wa lugha hizo wanazidi milioni thelathini. Lugha zinamo kundi hilo ni Kimandinka, Kisoni, Kibambara, Kibissa, Kijula, Kikagoro, Kibozo, Kimende, Kisusu, Kiyakuba, Kivai, na Kiligbi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

[*http://www.ethnologue.com/subgroups/mande-0 lugha za Kimande katika Ethnologue]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kimande kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.