Kikagoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kikagoro ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wakagoro. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kikagoro imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikagoro iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikagoro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.