Kimandinka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kimandinka.

Kimandinka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal, Gambia na Guinea-Bisau inayozungumzwa na Wamandinka. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimandinka imehesabiwa kuwa watu 669,000 nchini Senegal, 510,000 nchini Gambia, na 167,000 nchini Guinea-Bisau. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimandinka iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimandinka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.