Kibambara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibambara ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wabambara; tena ni lugha ya taifa ya Mali. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kibambara nchini Mali imehesabiwa kuwa watu 2,700,000. Pia kuna wasemaji nchini Cote d'Ivoire, Burkina Faso, Senegal, Gambia, Mauritania na Guinea. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibambara iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibambara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.