Nenda kwa yaliyomo

Kisusu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisusu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea na Sierra Leone inayozungumzwa na Wasusu. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisusu nchini Guinea imehesabiwa kuwa watu 906,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisusu iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisusu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.