Kijowulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijowulu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali na Burkina Faso inayozungumzwa na Wajowulu. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kijowulu nchini Mali imehesabiwa kuwa watu 10,000. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Burkina. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijowulu iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijowulu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.