Kibeng
Mandhari
Kibeng ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wabeng. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibeng imehesabiwa kuwa watu 17,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibeng iko katika kundi la Kimande.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibeng kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibeng Ilihifadhiwa 4 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibeng katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nhb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibeng kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |