Kiwan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwan ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wawan. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiwan imehesabiwa kuwa watu 22,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwan iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.