Nenda kwa yaliyomo

Kiyaure

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyaure (Kiyaouré, Kiyohowré, Kiyouré) ni lugha katika jamii ya lugha za Kimande inayotumika nchini Ivory Coast.

Lahaja zake ni pamoja na Kilan, Kiyaan, Kitaan, Kiyoo, na Kibhoo.


Makala hii ni sehemu ya warsha ya kuhariri Wikipedia huko MUM. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyaure kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.