Kigoo
Mandhari
Kigoo ni jamii ya lugha za Kimande iliyogunduliwa hivi karibuni nchini Ivory Coast. Inakaribiana na lugha za Kidan na Kitura, lakini haiwezi kueleweka na yoyote kati ya hizo. Inazungumzwa katika vijiji 10.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii ni sehemu ya warsha ya kuhariri Wikipedia huko MUM. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigoo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |