Nenda kwa yaliyomo

Kisamo (Burkina)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisamo (pia: Kisane, Kisan, Kisa) ni lugha za Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Mali. Lugha hii ni lahaja ndogo inayozungumzwa na Wamandé.

Takwimu za watu

[hariri | hariri chanzo]

Idadi ya watu na maeneo ya lahaja za Kisamo:

LahajaMkoaIdadi ya Watu (1985)Idadi ya Watu (2001[1])
MakaUpande wa kusini, eneo lililozunguka Toma61,88384,996
MatyaKaskazinimagharibi, hadi magharibi kaskazini mwa Tougan (ukiondoa eneo la Toéni)33,67546,252
MatyaKaskazinimgaharibi ya mbali (mkoa wa Toéni9,94213,655
MayaKaskazinimashariki, eneo lililozunguka Kiembara naBangassogo38,39352,732
ZoteJumla143,893197,635
  1. Estimate, with 2.68% annual increase


Makala hii ni sehemu ya warsha ya kuhariri Wikipedia huko MUM. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari.