4 Septemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Septemba 4)
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Septemba ni siku ya 247 ya mwaka (ya 248 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 118.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1824 - Anton Bruckner, mtunzi wa muziki kutoka Austria
- 1862 - Carl Velten, mkusanyaji wa hadithi za Kiswahili)
- 1906 - Max Delbruck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 1913 - Stanford Moore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 1962 - Shinya Yamanaka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2012
- 1981 - Beyoncé, mwimbaji kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 422 - Mtakatifu Papa Boniface I
- 1907 - Edvard Grieg, mtunzi wa muziki kutoka Norwei
- 1916 - José Echegaray y Eizaguirre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1904
- 1965 - Albert Schweitzer, daktari, mwanafalsafa na mmisionari nchini Gabon, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1952
- 2014 - Joan Rivers, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Musa, Marselo wa Chalon, Papa Bonifasi I, Kaletriki, Ida wa Herzfeld, Frezali, Irmingarda wa Koln, Rozalia n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |