Nenda kwa yaliyomo

Irmingarda wa Koln

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Irmingarda kati ya fukara.

Irmingarda wa Koln (1013 hivi; 1065/1089) alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme katika Ujerumani wa leo ambaye alitumia utajiri wake kujenga makanisa akiishi pasipo makuu [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Septemba[2]..

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Arie Nabrings: Irmgardis von Süchteln, Volksheilige, im Online-Portal Rheinische Geschichte, veröffentlicht am 8. März 2013.
  • Josef Kleinermanns: Die h. Irmgardis von Aspel und ihre Beziehungen zu Rees, Süchteln und Köln: ein Beitrag zur Rhein. Heiligengeschichte. Stauff, Köln 1900 (Digitalisat).
  • Arie Nabrings: Die hl. Irmgardis von Süchteln. Rheinlandia, Siegburg 1995, ISBN 3-931509-01-X.
  • Peter Norrenberg: Die heilige Irmgardis von Süchteln. Aus der rheinischen Geschichte, Band 19. Bonn 1894.
  • Margret Riedel: St. Irmgardis – Herrscherin und Heilige vom Niederrhein. Teil 1 und 2, Wesel-Diersfordt 1985.
  • Klaus-Gunther Wesseling: Irmgard von Köln. In: Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon (BBKL). Band 2, Bautz, Hamm 1990, ISBN 3-88309-032-8, Sp. 1334–1335.
  • Ekkart Sauser: Irmgard, Gräfin von Aspel. In: Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon (BBKL). Band 23, Bautz, Nordhausen 2004, ISBN 3-88309-155-3, Sp. 719–720.
  • Irmgardis, B.. In: Johann E. Stadler, Franz Joseph Heim, Johann N. Ginal (Hrsg.): Vollständiges Heiligen-Lexikon ..., 3. Band ([I]K–L), B. Schmid’sche Verlagsbuchhandlung (A. Manz), Augsburg 1869, S. 57.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.