Mto Simba (Nyandarua)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Simba (Nyandarua) ni jina la miwili kati ya mito inayopatikana katika kaunti ya Nyandarua, katikati ya Kenya.

Maji ya mmojawapo yanaishia katika mto Jubba na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]