Nenda kwa yaliyomo

Mto Mwea (Makueni)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mwea (Makueni) ni jina la miwili kati ya mito inayopatikana katika kaunti ya Makueni, kusini mwa Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Athi-Galana-Sabaki na hatimaye katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

    Viungo vya nje

    [hariri | hariri chanzo]