Nenda kwa yaliyomo

Mto Lagh Sure

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Lagh Sure ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya, mipakani kwa Ethiopia na Somalia.

Maji yake yanaishia katika mto Juba ambao unaingia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]