Mto Laga Bor
Mandhari
Mto Laga Bor ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Wajir, kaskazini mashariki mwa Kenya.
Maji yake yanaishia katika mto Juba ambao unaingia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Laga Bor kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |