Nenda kwa yaliyomo

Mto Kipsing

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kipsing ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Isiolo, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Juba ambao unaingia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]