16 Mei
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mei 16)
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 16 Mei ni siku ya 136 ya mwaka (ya 137 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 229.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1605 - Uchaguzi wa Papa Paulo V
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1540 - Mtakatifu Paskali Baylon, mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Hispania
- 1611 - Papa Innocent XI
- 1824 - Levi Parsons Morton, Kaimu Rais wa Marekani (1889-1893)
- 1845 - Ilya Mechnikov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1908
- 1886 - Douglas Southall Freeman, mwandishi kutoka Marekani
- 1905 - Henry Fonda, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1924 - Dawda Jawara, Rais wa Gambia (1970-1994)
- 1946 - Joatham Mporogoma Mwijage Kamala, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1950 - Johannes Bednorz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1987
- 1953 - Pierce Brosnan, mwigizaji filamu kutoka Ireland
- 1961 - Kevin McDonald, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1920 - Levi Parsons Morton, Kaimu Rais wa Marekani (1889-1893)
- 1947 - Frederick Hopkins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1929
- 1955 - James Agee, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Felisi na Genadi, Fiorensi na Dioklesyani, Abda na Ebediesi, Pelegrini wa Auxerre, Posidi, Fidoli, Brendan Baharia, Honorati wa Amiens, Karanogi, Wafiadini wa Mar Saba, Jermeri, Ubaldo wa Gubbio, Adamu wa Fermo, Andrea Bobola n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |