Nenda kwa yaliyomo

Dawda Jawara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dawda Jawara (1979)

Sir Dawda Kairaba Jawara (alizaliwa Barajally, Central River Division, 16 Mei 1924 - Bakau, Fajara, 27 Agosti 2019) alikuwa mwanasiasa wa Gambia. Alikuwa kwanza waziri mkuu miaka 1962 - 1970 halafu rais miaka 1970 - 1994.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dawda Jawara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.