30 Juni
Mandhari
(Elekezwa kutoka Juni 30)
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 30 Juni ni siku ya 181 ya mwaka (ya 182 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 184.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1960 - Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inapata uhuru kutoka Ubelgiji
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1819 - William Wheeler, Kaimu Rais wa Marekani (1877-1881)
- 1926 - Paul Berg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1980
- 1941 - Otto Sander, mwigizaji wa filamu kutoka Ujerumani
- 1951 - Stanley Clarke, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1966 - Mike Tyson, mpiga ngumi kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1912 - Mutsuhito (Meiji), Mfalme Mkuu wa Japani
- 1919 - Lord Rayleigh, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1904
- 2003 - Buddy Hackett, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Wafiadini wa kwanza wa Kanisa la Roma, Basilide wa Aleksandria, Marsiali wa Limoges, Betirani, Erentruda, Theobadi wa Provins, Ladislao wa Hungaria, Otto wa Bamberg, Adolfo wa Osnabruck, Visenti Yen Do, Raimundi Li Quanzhen, Petro Li Quanhui n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- Today in Canadian History Ilihifadhiwa 24 Machi 2021 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 30 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |