Nenda kwa yaliyomo

Kırıkkale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo la Kırıkkale)
Bonde la Mto Delice.

Kırıkkale ni mji mkuu wa Jimbo la Kırıkkale nchini Uturuki. Upo kilomita 80 kutoka mashariki mwa mji wa Ankara.

Jina la mji huu lina maana ya ngome iliyovunjikwa. Mji upo mita 713 juu ya usawa wa bahari.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000, idadi ya wakazi wanaoishi katika mji huo ilikadiriwa kuwa takriban 225,005 ambao wengine 205,078 wanaishi katikati ya mji wa Kırıkkale.[1][2]

  1. Turkish Statistical Institute. "Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey" (kwa Turkish). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (XLS) mnamo 2007-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-03-19.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. GeoHive. "Statistical information on Turkey's administrative units" (kwa English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-18. Iliwekwa mnamo 2008-03-19.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kırıkkale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.