17 Januari
Mandhari
(Elekezwa kutoka Januari 17)
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 17 Januari ni siku ya kumi na saba ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 348 (349 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1504 - Mtakatifu Papa Pius V
- 1962 - Jim Carrey, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1964 - Michelle Obama, mke wa rais wa Marekani tangu 2009
- 1942 - Muhammad Ali - mwanamasumbwi kutoka nchini Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 395 - Theodosius Mkuu, Kaisari wa Dola la Roma
- 1893 - Rutherford B. Hayes, Rais wa Marekani (1877-1881)
- 1961 - Patrice Lumumba, Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 2002 - Camilo Jose Cela, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1989
- 2007 - Alice Lakwena wa Uganda
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Antoni Mkuu, Speusipo, Elasipo, Melasipo na Leonila, Juliani Saba, Marselo wa Die, Sulpisi Pius, Roselina, Januari Sanchez Delgadillo n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 17 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |