Jim Carrey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Jim Carrey
Carrey mnamo 2010
Carrey mnamo 2010
Jina la kuzaliwa James Eugene Carrey
Alizaliwa 17 Januari 1962
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1981 hadi leo
Ndoa Melissa Womer (1987-1995)
Lauren Holly (1996-1997)

James Eugene "Jim" Carrey (alizaliwa 17 Januari 1962) ni mshindi wa Tuzo ya Golden Globe, akiwa kama mwigizaji filamu na mchekeshaji bora wa Kikanada.

Anafahamika sana kwa kucheza filamu za kuchekesha kama vile Ace Ventura: Pet Detective, Ace Ventura: When Nature Calls, The Mask, Dumb and Dumber, Me, Myself & Irene, The Cable Guy, Liar Liar, na Bruce Almighty. Carrey pia amepata mafanikio katika filamu za maigizo kama vile The Truman Show, Man on the Moon, na Eternal Sunshine of the Spotless Mind. Ameshinda tuzo ya Golden Globe mnamo mwaka wa 1999 na 2000. Mnamo mwaka 2008, ameigiza filamu ya Yes Man.

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Filamu Mwaka Kama Maelezo
The All-Night Show 1980 Sauti Sauti yake
The Sex and Violence Family Hour 1983
Rubberface 1981 Tony Moroni
Copper Mountain 1983 Bobby Todd
All in Good Taste 1983 Ralph Parker
Buffalo Bill 1984 Jerry Lewis
Finders Keepers 1984 Lane Bidlekoff
The Duck Factory 1984 Skip Tarkenton Vipindi 13
Once Bitten 1985 Mark Kendall
Peggy Sue Got Married 1986 Walter Getz
The Dead Pool 1988 Johnny Squares
Earth Girls Are Easy 1989 Wiploc
Mike Hammer: Murder Takes All 1989 Brad Peters
Pink Cadillac 1989 Lounge Entertainer James Carrey
In Living Color 1990–1994
High Strung]' 1991 Death
Doing Time on Maple Drive 1992 Tim Carter
The Itsy Bitsy Spider 1992 The Exterminator Sauti
Ace Ventura: Pet Detective 1994 Ace Ventura Alishinda tuzo la Favorite Actor kwenye Kids Choice Awards
The Mask 1994 Stanley Ipkiss
Dumb and Dumber 1994 Lloyd Christmas Alishinda tuzo la MTV Movie Award for Best Comedic Performance
Batman Forever 1995 Riddler / Edward Nygma Nominated – MTV Movie Award for Best Villain
Ace Ventura: When Nature Calls 1995 Ace Ventura Alishinda tuzo la Kids' Choice Award Favorite Movie Actor
The Cable Guy 1996 Ernie "Chip" Douglas Alishinda tuzo la Kids' Choice Award Favorite Movie Actor
Saturday Night Live 1996, 2003, 2011 Mtangazaji
Liar Liar 1997 Fletcher Reede Alishinda tuzo za Blockbuster Entertainment Award Favorite Actor – Comedy;
MTV Movie Award for Best Comedic Performance
The Truman Show 1998 Truman Burbank Alishinda tuzo la Golden Globe Award for Best Actor - Motion Picture Drama
Simon Birch 1998 Adult Joe Wenteworth
Man on the Moon 1999 Andy Kaufman (na Tony Clifton) Alishinda tuzo za Boston Society of Film Critics Award for Best Actor;
Golden Globe Award for Best Actor - Motion Picture Musical or Comedy
Me, Myself & Irene 2000 Charlie Baileygates/Hank Evans
How the Grinch Stole Christmas 2000 The Grinch Alishinda tuzo za Blockbuster Entertainment Award for Favorite Actor – Comedy;
Kids' Choice Award for Favorite Movie Actor;
MTV Movie Award for Best Villain;
People's Choice Award for Favorite Star in a Motion Picture Comedy;
Teen Choice Award for Choice Hissy Fit
The Majestic 2001 Peter Appleton
Pecan Pie 2003 Dereva Filamu fupi
Bruce Almighty 2003 Bruce Nolan Alishinda tuzo za Kids' Choice Award for Favorite Movie Actor;
MTV Movie Award, Mexico, for Most Divine Miracle in a Movie;
Teen Choice Award for Choice Movie Actor – Comedy
Eternal Sunshine of the Spotless Mind 2004 Joel Barish
Lemony Snicket's A Series of Unfortunate Events 2004 Count Olaf Alishinda tuzo za People's Choice Award for Favorite Funny Male Star;
Teen Choice Award for Choice Movie Bad Guy
Fun with Dick and Jane 2005 Dick Harper
The Number 23 2007 Walter Sparrow / Fingerling
Horton Hears a Who! 2008 Horton Sauti
Yes Man 2008 Carl Allen Alishinda tuzo za MTV Movie Award for Best Comedic Performance;
People's Choice Award for Favorite Funny Male Star
I Love You Phillip Morris 2009 Steven Jay Russell
A Christmas Carol 2009 Ebenezer Scrooge Sauti
Under the Sea 3D 2009 Sauti
The Office 2011 mtu wa Finger Lakes
Mr. Popper's Penguins 2011 Tom Popper
30 Rock 2012 Dave Williams
Burt Wonderstone 2013 Steve Gray

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jim Carrey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.