Golden Globe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Golden Globe

Alama za Tuzo ya Golden Globe
Hutolewa kwa ajili ya Ubora katika filamu televisheni
Hutolewa na HFPA
Nchi Marekani
Imeanza kutolewa mnamo 1944
Tovuti rasmi

Golden Globe Awards au 'Tuzo za Golden Globe ni tuzo ambazo hutolewa kila mwaka na Hollywood Foreign Press Association (HFPA) kwa kutambulisha kazi zilizofanya vizuri katika kipindi cha mwaka mzima hasa katika suala zima la burudani, iwe nchini Marekani na nchi za kigeni, na kuchukua mawazo zaidi ya watu hasa katika kuelezea kipi kilifanywa vizuri katika filamu na vipindi vya televisheni. Kipindi hiki hutaka kufanana kabisa na kile cha Academy Awards.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. About the HFPA. www.goldenglobes.org. HFPA. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-11-03. Iliwekwa mnamo 2008-11-02.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Golden Globe kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.