Historia ya Bhutan
Mandhari
Historia ya Bhutan inahusu eneo ambalo leo linaunda Ufalme wa Bhutan.
Bhutan ilianzishwa mwaka 1644 na mmonaki Mbuddha Shabdrung Ngawang Namgyel.
Nchi iliweza kutunza uhuru wake hadi leo, lakini ililazimishwa kukubali maeneo ya kusini yatwaliwe na Waingereza na kuunganishwa na Uhindi wa Kiingereza. Uingereza ilishughulika pia mawasiliano ya nje ya Bhutan.
Uhusiano huu umeendelea na India kulingana na mkataba wa urafiki wa tarehe 8 Agosti 1949.
Tarehe 12 Februari 1971 Bhutan ikapokelewa kama nchi mwanachama wa Umoja wa Mataifa.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Bhutan kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |