Hifadhi ya Taifa ya Aberdare

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Hifadhi ya Taifa ya Aberdare ina latitudo ya mita 1829 hadi 4001 juu ya usawa wa bahari na iko katika ardhi kati ya kusini-magharibi kwa Mlima Kenya.

Ilianzishwa rasmi mnamo Mei 1950 kama hifadhi ya misitu ya nchi. Hifadhi ina hewa njema iliyo tulivu na yenye mazingira murua na mvua kubwa inayonyesha mwaka nenda mwaka rudi.