Nenda kwa yaliyomo

Msitu wa Witu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Msitu wa Witu,Kenya

Msitu wa Witu ni eneo tengefu linalopatikana katika kaunti ya Lamu, Kenya.