Orodha ya Hifadhi za Taifa nchini Kenya
Mandhari
Mfumo wa kitaifa wa mbuga za Kenya unaimarishwa na Shirika la Kenya la Wanyama pori (Kenya Wildlife Service).
Hifadhi za Taifa
[hariri | hariri chanzo]- Hifadhi ya Taifa ya Aberdare
- Hifadhi ya Taifa ya Amboseli
- Hifadhi ya Taifa ya Arabuko Sokoke
- Hifadhi ya Taifa ya Central Island
- Hifadhi ya Taifa ya Chyulu Hills
- Hifadhi ya Taifa ya Hell's Gate
- Hifadhi ya Taifa ya Kisite Mpunguti
- Hifadhi ya Taifa ya Malindi
- Hifadhi ya Taifa ya Malka Mari
- Hifadhi ya Taifa ya Masai Mara
- Hifadhi ya Taifa ya Meru
- Hifadhi ya Taifa ya Mlima Elgon
- Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kenya
- Hifadhi ya Taifa ya Mlima Longonot
- Hifadhi ya Taifa ya Mombasa
- Hifadhi ya Taifa ya Nairobi
- Hifadhi ya Taifa ya Ol Donyo Sabuk
- Hifadhi ya Taifa ya Ruma
- Hifadhi ya Taifa ya Saiwa Swamp
- Hifadhi ya Taifa ya Sibiloi
- Hifadhi ya Taifa ya Southern Island
- Hifadhi ya Taifa ya Tsavo Magharibi
- Hifadhi ya Taifa ya Tsavo Mashariki
- Hifadhi ya Taifa ya Watamu
- Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Nakuru
Hifadhi teule
[hariri | hariri chanzo]- Hifadhi ya Arawale
- Hifadhi ya Bisanadi
- Hifadhi ya Boni
- Hifadhi ya Dodori
- Hifadhi ya Msitu Kakamega
- Hifadhi ya Paa ya Kisumu
- Hifadhi ya Samburu
- Hifadhi ya Buffalo Springs
- Hifadhi ya Tembo ya Mwaluganje
- Hifadhi ya Rimoi
- Hifadhi ya Shimba Hills
- Hifadhi ya Masai Mara
- Hifadhi ya Taifa ya Mwea
- Hifadhi ya Primates ya Tana River
- Hifadhi ya Msitu Witu
- Hifadhi ya Ziwa Bogoria
Mbuga na Hifadhi za Majini
[hariri | hariri chanzo]- Hifadhi ya kitaifa ya maji ya Kiunga
- Mbuga ya maji ya kitaifa ya Kisite-Mpunguti
- Mbuga na Hifadhi za Malindi
- Mbuga na Hifadhi ya kitaifa ya maji ya Mombasa
- Mbuga ya maji ya kitaifa ya Mpunguti
- Hifadhi ya Primates ya Tana River
- Hifadhi ya Watamu
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Kenya Wildlife Service Archived 14 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.
- Kenya Tourism Board Official travel and tourism guide