Orodha ya Hifadhi za Taifa nchini Cote d'Ivoire

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
maeneo ya hifadhi katika 2008

Hii ni orodha ya Hifadhi za Taifa ya Cote d'Ivoire:[1]

Mbuga za Taifa Kifaransa Mkoa Tovuti
Hifadhi ya Banco Parc national du Banco Lagunes (Abidjan)
Hifadhi ya Comoé Parc national de la Comoé Zanzan (Bondoukou)
Hifadhi ya visiwa vya Ehotilés Parc national des Îles Ehotilés Sud-Comoé (Aboisso)
Hifadhi ya Marahoué Parc national de la Marahoué Marahoué (Bouaflé)
Hifadhi ya Mlima Péko Parc national du Mont Péko Moyen-Cavally (Guiglo)
Hifadhi ya Mlima Sângbé Parc national du Mont Sângbé Montagnes (Man)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. *[dead link][dead link][dead link][dead link] World Institute for Nature and Environment (Kiingereza)