Hifadhi ya Taifa ya Mlima Elgon
Mandhari
Hifadhi ya Taifa ya Mlima Elgon ni kati ya hifadhi za taifa nchini Kenya, kaskazini mashariki mwa Ziwa Viktoria, na inaendelea upande wa Uganda, kwa kuwa nchi hizo zinachanga volikano ya Elgon.
Hifadhi hiyo ina ukubwa wa kilomita za mraba 1,279 (maili za mraba 494). Sehemu ya Uganda ya mbuga hiyo ina ukubwa wa kilomita za mraba 1,110 (maili za mraba 430). Sehemu ya Kenya ina ukubwa wa mraba za mraba 169 (maili za mraba 65). Sehemu ya Kenya ya mbuga hiyo ilitangazwa kwenye gazeti la serikali mwaka wa 1968, nayo sehemu ya Uganda ikatangazwa mwaka wa 1992.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Elgon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |