Paka Dhahabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Paka dhahabu
Mchoro wa paka dhahabu (Profelis aurata)
Mchoro wa paka dhahabu (Profelis aurata)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Feliformia (Wanyama kama paka)
Familia: Felidae (Wanyama walio na mnasaba na paka)
Nusufamilia: Felinae (Wanyama wanaofanana na paka)
Jenasi: Profelis
Severtzov, 1858
Spishi: P. aurata
(Temminck, 1827)
Kijani: Usambazaji wa paka dhahabu Kahawia: Usambazaji uwezekanao au kuonekana kwa ajali
Kijani: Usambazaji wa paka dhahabu
Kahawia: Usambazaji uwezekanao au kuonekana kwa ajali

Paka dhahabu, paka dhahabu wa Afrika au paka-msitu (Profelis aurata) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Crystal Clear app babelfish vector.svg Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paka Dhahabu kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.