3 Desemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Desemba 3)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 3 Desemba ni siku ya 337 ya mwaka (ya 338 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 28.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1967 - Cape Town: daktari Christiaan Barnard anafaulu kuhamisha moyo wa mtu kwenda kwa mwingine kwa mara ya kwanza duniani
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1886 - Karl Manne Siegbahn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1924
- 1900 - Richard Kuhn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1938
- 1933 - Paul Crutzen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1995
- 1946 - Raphael Benedict Mwalyosi, mwanasiasa wa Tanzania
- 1968 - Montell Jordan, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1981 - David Villa, mchezaji wa mpira wa Hispania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1154 - Papa Anastasio IV
- 1552 - Mtakatifu Fransisko Saveri, S.I., padri mmisionari kutoka Hispania, wa kwanza kufika Japani na sehemu nyingine za Asia
- 2000 - Gwendolyn Brooks, mshairi wa kike kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Fransisko Saveri, Nabii Sefania, Kasiani wa Tanja, Birini wa Winchester, Luzi wa Chur n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |