Nenda kwa yaliyomo

Richard Kuhn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Richard Kuhn

Richard Kuhn (3 Desemba 19001 Agosti 1967) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza vitamini. Mwaka wa 1938 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Kuhn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.