Paul Crutzen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Tuzo Nobel.png
Paul Crutzen

Paul Jozef Crutzen (amezaliwa 3 Desemba 1933) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uholanzi. Hasa alichunguza upunguaji wa ozoni. Mwaka wa 1995, pamoja na Mario Molina na Sherwood Rowland alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Tuzo Nobel.png Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Crutzen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.