Nenda kwa yaliyomo

Bursa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Bursa katika Uturuki.

Bursa (kihistoria pia una julikana kama Prussa, Kigiriki: Προύσα, halafu baadaye waliita Brusa) ni mji ulioko mjini kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Bursa.

Mji una wakazi wapatao 1,562,828 (2007). Huu ni mji wa nne kwa ukubwa katika Uturuki, ukiwa pamoja na kuwa kama ndiyo mji wenye ukuwaji mkubwa wa viwanda na kilimo katika nchi.

Mji wa Bursa upo mjini kaskazini-magharibi katika mapolomoko ya Mlima Uludağ Kusini mwa Mkoa wa Marmara. Mji umepakana kabisa na Bahari ya Marmara na Yalova katika kaskazini, Kocaeli na Sakarya katika kaskazini-mashariki, Bilecik katika mashariki na Kütahya na Balıkesir ipo kunako kusini.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]


Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bursa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.