17 Agosti
Mandhari
(Elekezwa kutoka Agosti 17)
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 17 Agosti ni siku ya 229 ya mwaka (ya 230 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 136.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1740 - Uchaguzi wa Papa Benedikto XIV
- 1945 - Nchi ya Indonesia inatangaza uhuru wake kutoka Uholanzi
- 1960 - Nchi ya Gabon inapata uhuru kutoka Ufaransa
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1844 - Menelik II, mfalme mkuu wa Uhabeshi
- 1932 - Vidiadhar Naipaul, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2001
- 1871 - Jesse Lynch Williams, mwandishi kutoka Marekani
- 1932 - Abebe Bikila, mwanariadha Mhabeshi
- 1941 - Ibrahim Babangida, Rais wa Nigeria (1985-1993)
- 1945 - Norbert Wendelin Mtega, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1304 - Go-Fukakusa, mfalme mkuu wa Japani (1246-1259)
- 1633 - Mtakatifu Yakobo Kyushei Tomonaga, O.P., padri na mfiadini kutoka Japani
- 1969 - Otto Stern, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1943
- 1982 - Ruth First, mwandishi wa Afrika Kusini
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Miro wa Kuziko, Mamas wa Kaisarea, Papa Eusebius, Jero, Elia Kijana, Nikola Politi, Klara wa Montefalco, Beatriz wa Silva, Yakobo Kyushei Tomonaga, Mikaeli Kurobioye, Yoana Delanoue n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 17 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |