Jesse Lynch Williams

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jesse Lynch Williamst


Jesse Lynch Williams (17 Agosti 187114 Septemba 1929) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1918, alikuwa mtu wa kwanza kupokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake Why Marry?.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jesse Lynch Williams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.