Nenda kwa yaliyomo

Wikipedia ya Kislovene

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found. Wikipedia ya Kislovene (Kislovene: Slovenska Wikipedija) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kislovene. Iianza kufanyakazi mnamo mwezi wa Machi katika mwaka wa 2002. Mnamo mwezni wa Julai 2007, imefikisha makala 50,000. Na kwa mwezi wa Aprili katika mwaka wa 2009, imefikisha zaidi ya makala 75,000.

  • 10,000 makala - 7 Februari 2005
  • 20,000 makala - 17 Desemba 2005
  • 30,000 makala - Juni 30th, 2006
  • 40,000 makala - 15 Februari 2007
  • 50,000 makala - 17 Julai 2007
  • 60,000 makala - 7 Machi 2008

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikipedia
Wikipedia
Wikipedia ya Kislovene ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru

Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kislovene kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.