Wikipedia ya Kihaiti
Mandhari
Kisara | http://ht.wikipedia.org/ |
---|---|
Ya kibiashara? | Hapana |
Aina ya tovuti | Mradi wa Kamusi Elezo ya Interneti |
Kujisajiri | Hiari |
Lugha asilia | Kihaiti |
Mmiliki | Wikimedia Foundation |
Wikipedia ya Kihaiti ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kihaiti. Ni moja kati ya Wikipedia chache sana za lugha ya aina ya Krioli.
Wikipedia hii ilianzishwa mnamo mwezi wa Agosti 2004. Tarehe 21 Januari 2009 ilifikisha makala 51,000, na kuifanya iwe toleo la Wikipedia la 38 kwa wingi wa makala (iliruka kutoka nafasi ya 47 mnamo Agosti 2008).
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo] Wikipedia ya Kihaiti ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
- Statistics for Haitian Creole Wikipedia by Erik Zachte
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kihaiti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |