15 Septemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Septemba 15)
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 15 Septemba ni siku ya 258 ya mwaka (ya 259 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 107.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1590 - Uchaguzi wa Papa Urban VII
- 1644 - Uchaguzi wa Papa Innocent X
- 1821 - Nchi ya El Salvador inapata uhuru kutoka Hispania
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1254 - Marco Polo, mfanyabiashara na mpelelezi kutoka Italia
- 1857 - William Howard Taft, Rais wa Marekani (1909-1913)
- 1929 - Murray Gell-Mann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1969
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1989 - Robert Penn Warren, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya Bikira Maria wa Mateso, na za watakatifu Nikomedi wa Roma, Valeriani wa Tournus, Stratoni, Valeri na wenzao, Niseta Mgoti, Albino wa Lyon, Apro wa Toul, Aikardi wa Jumieges, Emila na Yeremia, Katerina wa Genoa n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 15 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |