Mto Makalia (Nakuru)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Makalia (Nakuru) ni jina la miwili kati ya mito inayopatikana katika kaunti ya Nakuru nchini Kenya.

Maji ya mmojawapo yanaishia katika ziwa Nakuru.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]