Mto Laga Sapari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Laga Sapari unapatikana katika kaunti ya Marsabit, kaskazini magharibi mwa Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).

Maji yake yanaishia katika ziwa la magadi linaloitwa Turkana na lililo kubwa kuliko yote ya Kenya. Ni pia ziwa la jangwani lililo kubwa kuliko yote duniani.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]